Categories
Vidonge vya kukata hedhi

Vidonge vya kukata hedhi

Unaweza kutumia vidonge vya dharura vya kuzuia mimba au baadhi ya vidonge vya kawaida vya majira kuzuia mimba ndani ya siku 5 baada ya kufanya ngono bila kutumia kinga. Idadi ya vidonge ambayo unahitaji hutegemea aina ya homoni na kiwango cha homoni katika kila kidonge.

Chati hii imeorodhesha aina chache tu za vidonge hivi. Hakikisha unajua aina na kiwango cha homoni katika vidonge kabla hujavitumia. Chati inaonesha jumla dozi kamili ya homoni ambazo zinahitajika na vidonge vingapi unahitaji kutimiza dozi hiyo. Madhara ya pembeni ya kawaida ya vidonge vya dharura vya kuzuia mimba ni maumivu ya kichwa, kichefuchefu au maumivu tumboni, lakini yote haya hutoweka ndani ya siku moja au mbili.

Poe doorbell camera reddit

Ni kawaida kutokwa na damu kidogo au kutokea mabadiliko katika siku zako za hedhi mwezi unaofuata. Unapotumia vidonge vya dharura vya kuzuia mimba, vidonge ambavyo ni maalum kwa dharura au dozi sahihi ya vidonge vya projestini tu husababisha madhara ya pembeni kidogo kuliko kutumia vidonge mseto vya majira.

vidonge vya kukata hedhi

Kama utatapika ndani ya saa moja ya kutumia dozi hii, hii inamaanisha kwamba unapaswa kurudia dozi ile uliotumia. Kamwe usichanganye aina tofauti za vidonge vya dharura vya kuzuia mimba au vidonge vingine vya majira kwa sababu vinaweza kushindwa kabisa kufanya kazi. Hesperian Health Guides. Hesperian Health Guides Uzazi wa mpango wa dharura vidonge vya dharura vya kuzuia mimba.

Rudi kwenye nyenzo na machapisho ya Kiswahili. Toleo Jipya: Mahali Pasipo na Daktari. Uzazi wa mpango: Kutumia vidonge vya majira Uzazi wa mpango: Kutumia vidonge vya majira Uzazi wa mpango wa dharura vidonge vya dharura vya kuzuia mimba.

Vidonge vya dharura vyenye miligramu 1. Vidonge vya dharura vyenye miligramu 0. Halafu tumia vidonge 2 zaidi baada ya saa Kwa paketi ya siku 28 yenye vidonge mseto 28, tumia kidonge kutoka vidonge vya kwanza 21 ili kupata dozi iliyooneshwa hapo chini lakini usitumie vidonge vya mwisho 7 kwa sababu huenda vikawa havina homoni — ni kwa ajili ya kukumbusha kumeza kidonge kila siku. Vidonge vya majira mseto vikiwa na miligramu 0. Vidonge mseto vikiwa na miligramu 0.

Vidonge vya majira mseto vyenye miligramu 0. Katika paketi ya vidonge vyenye projestini tu, kila kidonge kina kiwango sawa cha dozi ya homoni. Vidonge vya projestini tu vidonge vidogo vyenye miligramu 0. Vidonge vyenye projestini tu vidonge vidogo vikiwa na miligramu 0.Katika mada yetu ya leo tutalijadili tatizo la kukusa hedhi ambalo kitaalamu huitwa amenorrhea.

Mwanamke anakuwa na tatizo hilo pale ambapo anakosa hedhi kwa kipindi cha miezi mitatu mfululizo, au msichana ambaye hajaanza kupata hedhi akiwa na umri wa miaka Sababu ya kawaida ya kukosa hedhi ni ujauzito. Sababu nyingine ya kukosa hedhi ni dosari katika viungo vinavyojenga mfumo wa uzazi au tezi zinazosaidia kudhibiti viwango vya homoni katika mwili.

Tiba ya chanzo cha tatizo mara nyingi huondoa tatizo hili la mwanamke kukosa hedhi. Ili mwanamke awe na mzunguko wa hedhi mzuri, hypothalamus, tezi ya pituitary, ovari, na uterus vyote vinatakiwa vifanye kazi ipaswavyo.

vidonge vya kukata hedhi

FSK na LH husababisha ovari kutoa homoni za estrogen na progesterone. Estrogen na progesterone zinahusika katika mzunguko wa mabadiliko katika endometrium utando unaofunika uteruspamoja na hedhi.

Amenorrhea inaweza kutokea kwa sababu nyingi. Baadhi zikiwa ni za kawaida katika maisha ya mwanamke, wakati nyingine zikisababishwa na matumizi ya madawa au zikiwa ni ishara ya tatizo la kiafya. Tatizo la kukosa hedhi linaweza kusababishwa na dosari yo yote kwenye hypothalamus, pituitary, ovari, mkondo wa uke au ya kiutendaji kimwili.

Wanawake wengine wakitumia vidonge vya kuzuia mimba hukosa hedhi. Hata baada ya kuacha matumizi ya vidonge hivyo, huwachukua muda miili yao kurudi kwenye hali za kawaida na kuanza kuona hedhi zao. Njia za sindano au kupandikiza zaweza pia kuleta tatizo la kukosa hedhi. Kuwa na uzito mdogo sana. Kuwa na uzito mdogo kupita kiasi — asilimia 10 chini ya uzito wa kawaida — husimamisha shughuli nyingi za homoni ndani ya mwili, hivyo kusimamisha uzalishaji wa mayai.

vidonge vya kukata hedhi

Mazoezi zaidi ya kawaida. Wanawake wanaoshiriki shughuli zinazodai mazoezi ya juu, hujikuta wakipoteza hedhi zao. Baadhi ya sababu zinachangia kwa wanariadha, ikiwa ni pamoja na uzito mdogo, kuwa na mafuta kidogo ndani ya mwili, msongo wa mawazo na matumizi makubwa ya nishati ya mwili. Msongo wa mawazo. Msongo wa mawazo huweza kubadilisha kwa muda utendaji kazi wa hypothalamus — sehemu ya ubongo inayosimamia homoni zinazoratibu hedhi.

Uzalishaji wa mayai na hedhi, hivyo vyaweza kusimama. Hedhi za kawaida hurudi baada ya msomgo wa mawazo kupungua. Matatizo kadhaa katika viungo vya mwili huweza kuvuruga mpangilio wa homoni katika mwili, ikiwa ni pamoja na:.

Sababu Zinazotokana Na Hypothalamus. Uvimbe karibu na tezi ya pituitary Craniopharyngioma. Kallman syndrome upungufu wa gonadotropins, homoni zenye uwezo wa kusimamia ukuaji na ufanyaji kazi wa viungo vyz uzazi.

R44 lease rates

Upungufu wa lishe.Post a Comment. Maumivu hayo huweza kuwa madogo au ya wastani huku baadhi ya wanawake wakipata maumivu makali sana.

Dawa ya kurekebisha mzunguko wa hedhi

Maumivu ya tumbo wakati wa hedhi huanza pale mayai yanapotoka katika mirija fallopian tubes na kuteremka chini ya mirija hiyo wakati wa Ovulation siku za kupata mimbaipo siku tutaongelea kuhusu siku za kupata mimba.

Maumivu ya tumbo la hedhi yapo ya aina mbili; Aina ya kwanza au Primary Dysmenorrhea ni maumivu yasiyokuwa na sababu zozote za kimsingi za kitiba. Katika aina hii maumivu ni ya kawaida na huhisiwa sehemu ya chini ya tumbo na kiunoni. Maumivu hayo huanza siku moja au mbili kabla ya hedhi na humalizika baada ya siku mbili au nne.

Aina ya pili au Secondary Dysmenorrhea ni yale maumivu yanayojumuisha maumivu yanayosababishwa na sababu nyinginezo za kitiba kama vile matatizo katika kizazi, ugonjwa wa nyonga PID na matatizo katika mirija ya mayai. Karibu nusu ya wasichana na wanawake hupata maumivu wakati wa hedhi na karibu asilimia kubwa wanasema kuwa hupata maumivu makali lakini kiafya unatakiwa uingie hedhi bila kupata maumivu makali.

Sasa leo nakujuza vyakula vichache endapo utapendelea kuvitumia basi utamaliza au kupunguza kwa kiasi kikubwa maumivu hayo. Tunda hili lina manufaa zaidi kwa wasichana hasa wale wenye tatizo la kutopata siku zao kutokana na stress. Utapata faida hizo kwa kula mara kwa mara tunda hilo bichi halijaiva ila limekomaa UFUTA Jinsi unavyoweza kuandaa ufuta kwa tiba ya maumivu wakati wa hedhi ni kusaga ufuta na upate unga wake kisha changanya na maji ya moto.

Kunywa mara mbili kwa siku. Tiba hii huwafaa zaidi wasichana wadogo au wanawake wanaotoka hedhi kidogo zaidi TANGAWIZI Chukua kipande cha tangawizi mbichi, kiponde na uweke kwenye kikombe cha maji ya moto kwa dakika chache kisha tia sukari kiasi na unywe mchanganyiko huo kwa siku mara mbili baada ya mlo.

Tutaendelea kuelezea zaidi vyakula vingine. Ubora wa ped hizi unatokana na kuundwa kwa kitambaa cha pamba pekee na kuongezewa dawa maalum ukiangalia picha ya ped iliyofunguliwa utaona kile kidude cha kijani ndiyo kila kitu katika ped hiyo. Pia zina harufu nzuri sana itakayokufanya uzidi kuzipenda kuzitumia Watu wengi wamekuwa wakiniuliza na kulalamika kuhusu upatikanaji wa hizi ped, unaweza kuzipata ped hizi Shinyanga, Mwanza, Bukoba, Iringa, Babati, Dodoma na Dar es salaam Ili ujibiwe haraka swali lolote tuma sms ya kawaida kwenda au Maelezo ya kiundani zaidi kuhusu ped wasiliana nasi au whatsapp Share makala hii ili na wengine wajifunze.

No comments:. Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom.Post a Comment. Thursday, June 25, Madhara 10 ya vidonge vya kupanga uzazi kuzuia mimba. Vidonge vya Uzazi wa Mpango, ni moja ya njia inayopendekezwa na Wataalamu wa Mpango wa Uzazi katika kuzuia mimba.

Kwa mujibu wa tafiti hizo ambazo FikraPevu inazo, vidonge hivyo vya mpango wa uzazi vikitumiwa vizuri, kwa kuhakikisha muda wa matumizi yake unakuwa ule ule, ni mwanamke mmoja pekee kati ya anayeweza kupata mimba isiyotarajiwa ndani ya mwaka wa kwanza wa matumizi ya dawa hizo. Hadi sasa kuna aina kuu mbili tu za vidonge vya uzazi vinavyotumiwa na wanawake katika wa mpango huo, ingawa aina zote hizo zina vichocheo hormons.

Aina hizo kitaalamu zinaitwa Estrogen na Progesteron. Kwa upande wake, Progesterone, hiki ni kichocheo cha kopasi luteamu ya ovari, kinachosaidia kuanzisha mabadiliko katika endometriumu baada ya ovulesheni. Ingawa katika aina hiyo mbili ya vidonge, kuna vingine vina kichocheo cha aina moja tu, kwa maana ya ama Estrogen au Progesterone, huku vingine vikiwa na vichocheo vyote viwili hivyo, lakini vidonge vyote hivyo ni salama, na vinafanya kazi kwa kufanya ute mzito kwenye shingo ya mji wa mimba na kuzuia kupevuka kwa yai, hivyo kuzuia mimba kwa kiwango cha asilimia Vidonge vya uzazi wa mpango vinaweza pia kutumika kama tiba ya kuweka sawa mzunguko wa hedhi, kuzuia maumivu makali wakati wa hedhi, kutibu chunusi pamoja na kupunguza hatari ya magonjwa katika via vya uzazi, ambayo hayatokani au kusababishwa na magonjwa ya ngono.

Hata hivyo, pamoja na usalama wa vidonge hivyo katika kufanya kazi yake hiyo ya kuzuia mimba na tiba kwa magonjwa hayo, vidogo hivyo vinaweza kumsababishia athari za kiafya mwanamke kama havitumiki katika mpangilio sahihi. Athari kuu 10 zinazoweza kusababishwa na vidonge hivyo ni pamoja na kutokwa na damu ukeni baada ya hedhi ya kawaida. Kwa mujibu wa wataalam wa mpango huo, athari hiyo huweza kuwapata asilimia 50 ya wanawake wote wanaotumia vidonge vya uzazi wa mpango.

Hali hii huweza kuwatokea ndani ya miezi mitatu baada ya kuanza matumizi ya dawa hizi. Kwa ujumla, hali hiyo huweza kukoma kwa zaidi ya asilimia 90, pindi mwanamke anapoanza kutumia pakti ya tatu ya dawa hizo katika kipindi hicho cha kutokwa damu ukeni. Mwanamke anapotokewa na hali hiyo kwa mfululizo wa siku tano au zaidi baada ya kumaliza siku zake za kawaida za hedhi, anashauriwa kuwasiliana na mhudumu wa afya wakati akiendelea kutumia dawa hizo.

Athari ya pili, ni kujisikia kichefuchefu. Mara nyingi hali hiihumtokea mwanamke mwanzoni tu baada ya kuanza kumeza vidonge vya uzazi wa mpango, ingawa hali hii inaweza kukoma baada ya siku chache. Inashauriwa pia kwa mwanamke anayepatwa na hali hii ya kichefuchefu kuwasiliana na mhudumu wa afya kama ataona hali hiyo inazidi.

Matiti kujaa au kuwa na maumivu, ni athari nyingine inayoweza kusababisha na matumizi ya vidonge hivyo. Hali hii huweza kumpata baada ya kuanza kutumia vidonge hivyo, na huweza kukoma ndani ya wiki moja tu.

Hata hivyo, inashauriwa kwamba ikiwa matiti hayo yatatokwa na uvimbe au maumivu yasiyoisha, ni muhimu kutafuta tiba kwa wahudumu wa afya, ikiwa ni pamoja na kupunguza matumizi ya kinywaji chenye kafeini caffeine na chumvi na kuvaa brauzi isiyobana matiti. Maumivu ya kichwa ni athari nyingine inayoweza kumtokea mwanamke, ingawa pia kuumwa kichwa kunaweza kuwa na dalili za magonjwa mengine.

Hata hivyo, kama itatokea maumivu hayo ya kichwa yakaanza tu mara baada ya kumeza vidonge hivyo, hiyo itakuwa ni dalili ya athari mojawapo na ni vyema kutoa taarifa kwa mhudumu wa afya. Vidonge vya uzazi wa mpango huweza pia kuongezeka uzito wa mtumiaji, ingawa tafiti nyingine zimeshindwa kuthibitisha uhusiano kati ya vidonge hivyo na mabadiliko ya uzito wa mtumiaji.

Chanzo cha harufu mbaya ukeni

Aidha, baadhi ya wanawake hupatwa na tatizo la maji kuganda kwenye matiti na maeneo ya nyonga baada ya kutumia vidonge hivyo. Mabadiliko ya hisia huweza pia kumtokea mwanamke anayeanza kutumia vidonge vya uzazi wa mpango.

Jinsi ya kukata hedhi isiyo kwisha

Inashauri kwamba pindi mwanamke anapoona dalili hii, ni muhimu kumjulisha mhudumu wa afya ili kuweza kujadili ni jinsi gani ataweza kutumia dawa hizo, kwa sababu dalili hii ni mbaya kiafya kwa mtu mwenye historia ya ugonjwa wa Kushuka Moyo Depression. Athari nyingine ya dawa hizi ni kutokwa na uchafu ukeni. Baadhi ya wanawake, mara tu baada ya kutumia vidonge hivi hutokwa na uchafu ukeni, ikiwa ni pamoja na kupatwa na uwezekano wa kupungua au kuzidi kwa ute wakati wa tendo la ndoa.

Ni muhimu sana mwanamke anapobaini dalili hizi, kuonana na mhudumu wa afya ili kubaini kama hali hiyo imesababishwa na athari ya vidonge au kuna maambukizi ya magonjwa ya zinaa. Wanawake wengine huweza kujikuta wakikosa siku zao za hedhi baada ya kutumia vidonge vya uzazi wa mpango. Ingawa ugonjwa wa msongo wa mawazo stressmagonjwa, mchoko wa safari unaweza kusababisha hali hii, lakini inashauriwa kupima kama mtu amaepatwa na ujauzito hata kama anatumia vidonge hivi kama itatokea kukosa hedha katika mazingira tata.Period pains ni maumivu yanayotokea sehemu ya chini ya tumbo au kiuno wakati mwanamke anapoanza kuingia kwenye siku zake.

Maumivu haya huanza pale mayai yanapotoka katika mirija yaani fallopian tubes na kuteremka chini ya mirija hiyo wakati wa urutubishwaji wa mayai, yaani ovulation. Maumivu haya huweza kuwa makali au ya kawaida hivyo kuna aina mbili za maumivu wakati wa hedhi; Aina hizo ni. Haya ni maumivu yasiyokuwa na sababu maalum. Katika aina hii, maumivu ni ya kawaida na hutokea sehemu ya chini ya tumbo na kiunoni.

Pia maumivu haya huanza siku moja au mbili kabla ya hedhi na kumalizika baada ya siku tatu au ya nne kulingana na mwili wa mtu husika.

Increase resin production before harvest

Maumivu haya hutokana na uongezekaji wa tindikali kitaalam huitwa prostaglinds ambayo hutokea siku chache baada ya yai kupevuka na kufanya misuli kusinyaa hivyo kusinyaa huko husababisha tumbo kupata maumivu wakati wa hedhi. Haya ni maumivu yanayotokea kutokana na sababu mbalimbali kama vile matatizo katika kizazi, ugonjwa wa nyonga na matatizo katika mirija ya mayai ya mwanamke.

Asilimia 60 ya wanawake au wasichana wanasumbuliwa na tatizo hili la kupata maumivu wakati wa hedhi. Pia baadhi ya wanawake au wasichana hupata maumivu haya zaidi na kusababisha kulazwa au kushindwa kufanya kazi zao za kila siku. Pia huweza kusababishwa na viuvimbe vidogodogo katika via vya uzazi yaani fibroids. Maambukizi sugu katika via vya uzazi -PID Endometriosis, Ovarian Cyst na viwambo vya mpango wa uzazi vinavyoingizwa katika kizazi, kwa mfano vitanzi, vijiti, vidonge vya kuzuia mimba ambavyo huwa na progesterone ambayo pia huweza kusababisha ugonjwa wa moyo.

Dalili za ugonjwa huu kwa wanawake na wasichana ni kuwa na maumivu makali wakati wa hedhi. Kupata kichefuchefu, kutapika wakati wa hedhi, kuharisha wakati wa hedhi, kupata maumivu chini ya kitovu, maumivu ya mgongo na maumivu ya kiuno wakati wa hedhi.

Zipo njia nyingi za kutibia maumivu ya hedhi baada ya kuonwa na daktari. Mojawapo ni kuweka chupa au mfuko wenye maji ya moto kwenye sehemu ya chini ya tumbo. Hii ni njia inayotumika kama njia ya dharura, lakini hakikisha mfuko huo usiwe wa moto mkali wa kuunguza ngozi.

Hesperian Health Guides

Daktari akimuona mgonjwa anaweza kumpa dawa za kutuliza maumivu kama ibuprofen, mefenamic acid na proxen. Matumizi ya vidonge vya uzazi wa mpango pia husaidia kupunguza maumivu ya hedhi. Kama ilivyo kwa dawa nyingine, ni muhimu kupata ushauri wa kitaalam kabla ya kuanza kutumia dawa hizi. Iwapo njia hizi hazifanikiwi kutuliza maumivu ya hedhi, vipimo zaidi vinahitajika ili kugundua chanzo cha maumivu hayo ili kitibiwe.

Miongoni mwa vipimo vinavyohitajika ni vipimo vya magonjwa ya maambukizi infection ya njia ya uzazi pamoja na upasuaji ili kuona kama kuna uwepo wa endometriosis na kuiondoa. Zipo tiba kwa njia ya upasuaji unaofanyika kwa kutumia matundu madogo na kamera bila kufungua tumbo.

Iwapo maumivu ni makali sana na hayatibiki kwa dawa, mgonjwa asiyekuwa na mpango wa kupata mtoto hushauriwa kuondoa kifuko cha uzazi ili kuepuka kifo.Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpya. Pamoja na kwamba alikunywa dawa ya kuzuia mimba usiku huohuo alikwenda kupata huduma ya afya baada ya kufanyiwa unyama. Rachel ambaye sasa ana umri wa miaka 34, anasema kuwa hakuambiwa na madaktari kuwa anaweza kupata ujauzito baada ya kumeza vidonge hivyo vya kuzuia mimba:.

Inakadiriwa kuwa asilimia 0. Baadhi ya dawa zinaweza kuvuruga ufanisi wa dawa hizo pia, amesema Dkt.

Elcan scopes

Caroline Cooper ambaye ni mtaalamu wa afya ya uzazi. Dawa ambazo zinaharibu ufanisi wa vidonge vya kuzuia mimba ni pamoja na dawa za kupunguza maumivu ya virusi vya ukimwi. Sababu nyingine ya vidonge vya ujauzito kushindwa kufanya kazi ni uzito wa mwanamke, Dkt.

Cooper anaeleza. Wanawake wenye uzito mkubwa wako kwenye hatari ya kupata ujauzito baada ya kunywa dawa hizo ingawa si lazima kuwa uzito ndio kigezo. Lakini wanawake wangapi wanajua kuhusu suala hili? Kwamba dawa ya kuzuia mimba inaweza kushindwa kufanya kazi kutokana na kuchelewa kupevuka kwa yai.

Lent resources

Hata maelezo ambayo yapo kwenye kasha la dawa za kuzuia mimba hayasemi chochote kuhusu ukweli wa ufanisi wa dawa hizo kutegemea mzunguko wa hedhi.

Lakini kwa nini wanawake wote hawapati taarifa muhimu kama hizi wanapopewa dawa hizo za kuzuia mimba? Harriet mwenye miaka 26, anaeleza namna ambavyo alikunywa dawa za kuzuia ujauzito wakati ambapo kondomu yake ilipopasuka.

Harriet aliongeza kusema kuwa aliambiwa kuwa vidonge mara nyingine huwa havifanyi kazi lakini hatari ambayo walimwambia ni kuhusu kuchelewa kunywa dawa hizo.

Soul awakening

Yaani ni lazima dawa hizo zinywewe ndani ya saa 24, lakini cha kushangaza wiki moja baadae alijikuta kuwa mjauzito. Kwa upande wake Rachel, kutojua kuwa vidonge vya kuzuia mimba vinaweza kushindwa kufanya kazi kulimpa wakati mgumu sana. Nilimuuliza Dkt. Cooper kama wanawake huwa wanaambiwa na wauza dawa kuhusu mzunguko wa hedhi unaweza kusababisha utofauti katika ufanyaji kazi wa dawa.Hadi sasa kuna aina kuu mbili tu za vidonge vya uzazi vinavyotumiwa na wanawake katika mpango huo, ingawa aina zote hizo zina vichocheo hormons.

Aina hizo kitaalamu zinaitwa Estrogen na Progesteron.

vidonge vya kukata hedhi

Kwa upande wake, Progesterone, hiki ni kichocheo cha kopasi luteamu ya ovari, kinachosaidia kuanzisha mabadiliko katika endometriumu baada ya kurutubishwa mayai. Ingawa katika aina hizo mbili za vidonge, kuna vingine vina kichocheo cha aina moja tu, kwa maana ya ama Estrogen au Progesterone, huku vingine vikiwa na vichocheo vyote viwili. Lakini vidonge vyote hivyo ni salama, na vinafanya kazi kwa kufanya ute mzito kwenye shingo ya mji wa mimba na kuzuia kupevuka kwa yai, hivyo kuzuia mimba kwa kiwango cha asilimia Vidonge vya uzazi wa mpango vinaweza pia kutumika kama tiba ya kuweka sawa mzunguko wa hedhi, kuzuia maumivu makali wakati wa hedhi, kutibu chunusi pamoja na kupunguza hatari ya magonjwa katika via vya uzazi, ambayo hayatokani au kusababishwa na magonjwa ya ngono.

Hata hivyo, pamoja na usalama wa vidonge hivyo katika kufanya kazi yake hiyo ya kuzuia mimba na tiba kwa magonjwa hayo, vidonge hivyo vinaweza kumsababishia athari za kiafya mwanamke kama havitatumika katika mpangilio sahihi.

Athari kuu 10 zinazoweza kusababishwa na vidonge hivyo ni pamoja na kutokwa na damu ukeni baada ya hedhi ya kawaida. Athari hiyo huweza kuwapata asilimia 50 ya wanawake wote wanaotumia vidonge vya uzazi wa mpango. Hali hii huweza kuwatokea ndani ya miezi mitatu baada ya kuanza matumizi ya dawa hizi. Kwa ujumla, hali hiyo huweza kukoma kwa zaidi ya asilimia 90, pindi mwanamke anapoanza kutumia pakti ya tatu ya dawa hizo katika kipindi hicho cha hedhi.

Mwanamke anapotokewa na hali hiyo kwa mfululizo wa siku tano au zaidi baada ya kumaliza siku zake za kawaida za hedhi, anashauriwa kuwasiliana na mhudumu wa afya wakati akiendelea kutumia dawa hizo. Athari ya pili, ni kujisikia kichefuchefu. Mara nyingi hali hii humtokea mwanamke mwanzoni tu baada ya kuanza kumeza vidonge vya uzazi wa mpango, ingawa hali hii inaweza kukoma baada ya siku chache.

Inashauriwa pia kwa mwanamke anayepatwa na hali hii ya kichefuchefu kuwasiliana na mhudumu wa afya kama ataona hali hiyo inazidi. Matiti kujaa au kuwa na maumivu, ni athari nyingine inayoweza kusababisha na matumizi ya vidonge hivyo. Hali hii huweza kumpata baada ya kuanza kutumia vidonge hivyo, na huweza kukoma ndani ya wiki moja tu. Hata hivyo, inashauriwa kwamba ikiwa matiti hayo yatatokwa na uvimbe au maumivu yasiyoisha, ni muhimu kutafuta tiba kwa wahudumu wa afya, ikiwa ni pamoja na kupunguza matumizi ya kinywaji chenye kafeini caffeine na chumvi na kuvaa brauzi isiyobana matiti.

Maumivu ya kichwa ni athari nyingine inayoweza kumtokea mwanamke, ingawa pia kuumwa kichwa kunaweza kuwa na dalili za magonjwa mengine. Hata hivyo, kama itatokea maumivu hayo ya kichwa yakaanza tu mara baada ya kumeza vidonge hivyo, hiyo itakuwa ni dalili ya athari mojawapo na ni vyema kutoa taarifa kwa mhudumu wa afya.